Si kweli japo kule UDOM kuna hadi Mabasi yanayokodiwa na wanafunzi kwa ajili ya kuwapeleka hapo tu! Lakini hata hivyo marafiki zangu wengi wa Dodoma ni wanafunzi wa UDOM!
Pestana ilikua ya wote kipindi ilipoanzishwa, ila sikuhizi zaidi ya robo tatu ni wanafunzi. Ukiingia utaona vitabia flan vitakavyokufanya ujue kua haupo sehemu ya namna yako.
Ndio maana mmiliki akawaletea bambalaga ambayo wanafunzi ni marufuku. Japo hii inatesa watu wazima wenye looks za ubichi.