Pamoja sanando yale ya kukataliwa salamu hadharani, haya mama taifa lijengwe mdogo mdogo tutafika...
Ufukunyuku sasa Mdogo wangu.ndo nini sasa kucheka hivyoChaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa aise dahMuda mwingine bora kusema ukweli tu .
Umegunaje kwani!!Mmmh
Nimecheka kizembe sana ujue🤣🤣🤣Najua huwezi kunitaka, na wewe ukae tu kwa utulivu, hii dam ina tatizo mahali.
👊🏿👊🏿mi sipo pamoja..
Hem tuone inaendaje, huenda ikawa mwaka wangu, 2022 itakuwa maajabu haya![emoji23][emoji23][emoji23]Tutaanzia mwanzo Kwa mfano
Sijui niendelee kubet[emoji846]huenda nikamjua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ule uzi bhana ulinifanya nifunguke sana[emoji1787][emoji1787]
Yule mwamba bado chembechembe zake zipo [emoji38]
Nimeguna kawaida tu rafiki .Umegunaje kwani!!
Sasa hii bahati isiishie kufurahia mwandiko kama wa Anne[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kizembe sana ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini nisiweze sasa unaona unavyopishana na bahati
Unachinjia watu ziwa victoria.Ufukunyuku sasa Mdogo wangu.ndo nini sasa kucheka hivyo
Nakupa nafasi ya mwisho leo kubet.ukichana mkeka tutakuwa tumefunga ukurasaSijui niendelee kubet[emoji846]huenda nikamjua.
Kaumri kako kanaruhusu kuelewa nini nilimaanisha?[emoji23] Manake Anne na udogo wake alielewa na kucheka sana...[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeguna kawaida tu rafiki .
Ngoja nipitishe swala lako katika halmashauri ya kichwa changuHem tuone inaendaje, huenda ikawa mwaka wangu, 2022 itakuwa maajabu haya![emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee nimetoka kapa ,nieleweshe basi rafiki .Kaumri kako kanaruhusu kuelewa nini nilimaanisha?[emoji23] Manake Anne na udogo wake alielewa na kucheka sana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Ombi lako linajadiliwa halmashaurini🤣Sasa hii bahati isiishie kufurahia mwandiko kama wa Anne[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 kumbe bado hujayaelewaga majibu yangu ya kuishia hewani e😆Unachinjia watu ziwa victoria.
Hivi hujuagi Saint Anne ni mkuda eee🤣Kaumri kako kanaruhusu kuelewa nini nilimaanisha?[emoji23] Manake Anne na udogo wake alielewa na kucheka sana...[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu Na kwako pia.Mungu akulindehaya goodnight..
Anajuaje vitu vya wakubwa wakati kashuhudia hajawa mkubwa bado[emoji23][emoji23]Hivi hujuagi Saint Anne ni mkuda eee[emoji1787]