Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Hatupambani na kilichoshindwa.. ni swala la kukielewa tu na kuelewa position yako.. ukikisoma hiki kitabu kuna vitu unaweza baki unachekaaHiki sijakisoma aisee. Nitakiweka kwenye list ya vitabu vyangu mwaka huu. Title tu inakupa mzuka wa kupambana na Shetani
Hatupambani na kilichoshindwa.. ni swala la kukielewa tu na kuelewa position yako.. ukikisoma hiki kitabu kuna vitu unaweza baki unachekaa
HM1st born sitaki aisee.
Ndugu zake wataniendesha sana...
Nataka wa katikati,asiwe last wala first bornn.
[emoji849][emoji849]
Ni wa pembeni[emoji16][emoji23]HM
Ni wa kati kati[emoji848]
😂😂😂😂Nimeliona sasa hivi
Uzi upo speed sana huu wazee tunashndwa kwenda na pace yake japo
________
Ulipendeza kama mwenyekiti/msimamizi wa green house yetu ya pale magogoni 🤣🤣
We njoo utaonaSasa umehamia wapi?
Na mimi nakupa pole!Asante nikiungua tena nanyoa tu jamani .
Asante rafiki .Na mimi nakupa pole!
Japo sijaona umeungua kiasi gani[emoji39]Asante rafiki .
Nimeungua kiasi kikubwa hadi kwenye ngozi .Japo sijaona umeungua kiasi gani[emoji39]
🤣🤣🤣Japo sijaona umeungua kiasi gani[emoji39]
Ila ni huko huko?We njoo utaona
AmekusikiaAmina
Mwambie nipo moro saa hii
YeahIla ni huko huko?
Nione naomba, ili nikupe pole kweli kweli...Nimeungua kiasi kikubwa hadi kwenye ngozi .