[emoji1490][emoji1490][emoji1490].Nimecheka. Ila if you bag yourself a good man now.....(uning'ate sikio)
Yeah huu ni muda wako wa ku-add value kwenye maisha yako. Una ndoto, maono na matamanio yako; ndiyo muda wenyewe sasa. Kesho ukishakuwa na familia; ulichokifanya na kukijenga leo ndiyo kitakuja kukusaidia huko mbeleni. Unaweza ukaja kulazimika kuacha kazi/biashara, kwa sababu ya familia. Ongea thamani kwenye maisha yako sasa...
Above all; ukishaolewa, mnaanza kuishi maono ya mume sio ya kwako tena. Atalitimiza kusudi lake, huku wewe ukiwa msaidizi wake mkuu. Mchungaji wangu alikuwa anatusisitiza sana tupambane angali tukiwa mabinti; kuna muda ukiwa na watoto hata muda wa kuomba vizuri huupati. Hata kuombea watoto wako, waombee kuanzia leo kabla hata hawajaja. Akiba yake itakusaidia sisi utakapopigwa na hata hiyo nguvu ya kumuombea huyo mtoto ukaikosa.
Alikuwa anatuambia. Kuna aina 3 za wanawake waliofanikiwa
1. Ambao hawajaolewa
2. Walioachika/kufiwa.
3. Waliofanikiwa kabla hawajaolewa
To be continued.....
Hii miguu jinsi ilivyojaa inaonesha juu huko imebeba shughuli pevuu!! [emoji39][emoji39][emoji39]
Mataga wakiona tu hizo mboga tayari wanajua mimi mwenzaoUnatu contrdict sisi mataga
Chini mboga mboga, mkononi umefanya kama pipoooooz
Utakosa buku 7 zetu 🤣🤣
Nahisi kama kautege flani hivi[emoji23] kanahamasisha![emoji1635][emoji898]
View attachment 2076019
[emoji1490][emoji1490][emoji1490].
Maneno ya mama mchungaji yaishi milele.
Asante ndio nili retouchPole jamani. Uli-retouch au nini?
Kalumbu umepotea sana humu aseee [emoji3064][emoji3064]elewa au olewa[emoji5][emoji5][emoji39][emoji39]
Mweeh pole jamani. Ule muda sasa wa kuosha, afu asugue ulipoungua mmmmmhAsante ndio nili retouch
Leo nimuengua mapema sana nikavumilia dawa ikolee .
I can't you [emoji114][emoji114][emoji114]Kalumbu umepotea sana humu aseee [emoji3064][emoji3064]
Nilizimiss Balimi hatimaye leo nimezifuma kipande hii maana sehemu nyingi hawaziuzi siku hizi hasa Dar [emoji39][emoji39]View attachment 2076097View attachment 2076098View attachment 2076099
Mmh! Naona kazi maalumu, mtu maalumuKalumbu umepotea sana humu aseee [emoji3064][emoji3064]
Nilizimiss Balimi hatimaye leo nimezifuma kipande hii maana sehemu nyingi hawaziuzi siku hizi hasa Dar [emoji39][emoji39]View attachment 2076097View attachment 2076098View attachment 2076099
Panauma balaa , nilitamani kumwambia yule mkaka acha kuosha kwa nguvu halafu ni kauzu balaa mkongo yule .Mweeh pole jamani. Ule muda sasa wa kuosha, afu asugue ulipoungua mmmmmh
Panauma balaa , nilitamani kumwambia yule mkaka acha kuosha kwa nguvu halafu ni kauzu balaa mkongo yule .
Asante nikiungua tena nanyoa tu jamani .Mweeh pole jamani
Mda wa kusoma nikijiandaa kulala.. umekisoma hiki kitabu ☺️☺️Mweeh pole jamani
Asante nikiungua tena nanyoa tu jamani .
Mda wa kusoma nikijiandaa kulala.. umekisoma hiki kitabu [emoji3526][emoji3526]View attachment 2076108
Kweli vinapona harakaJamani; ila vikipona utasahau kidogo. Inatokeaga tu