Huwa namuombea sana na najiombea na sitamani nipite huko ..japo hivi karibuni nimekuwa nikifunuliwa habari njema juu yake
Uzuri kule juu kuna sheet za mfano,,dada yangu mlezi(si huyu) ndio mfano wangu.
Ila kwa jinsi alivyofight na katoto acha tu.
Sasahivi kamekua kila mtu anakatamani..kalivyokuwa tumboni mikono ilijaa.