Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ni vile vioda kwa kuwekea funguo.
Vinatengenezwa na mti fulani hivi,vinaandikwa jina na maneno mazuri mazuri ya kupamba jina.
Vilivuma sana miaka ya nyuma .
NdiyoOoh kumbe hivyo
Nikukute hapohapo,nakuja na ile keki.
Njoo tena leo nipo sikuwepo kitambo kidogoNikukute hapohapo,nakuja na ile keki.
Ndio maana nilipita sikukukuta.Njoo tena leo nipo sikuwepo kitambo kidogo
Alikuwepo mtu mimi sikuwepo saiz ndo nimerudi.... njoo uniletee zawadi ya cake maana nilishaisubili sana.Ndio maana nilipita sikukukuta.
Tatizo umerudi kimyakimyaAlikuwepo mtu mimi sikuwepo saiz ndo nimerudi.... njoo uniletee zawadi ya cake maana nilishaisubili sana.
Nimerudi leo alfajiri nikiwa na hamu ya cake kweliTatizo umerudi kimyakimya
Kwa hiyo hamu imekujia ghafla baada ya kusema nakuja na keki😂Nimerudi leo alfajiri nikiwa na hamu ya cake kweli
Ntakutafuta dada!Utanikuta
[emoji23][emoji23][emoji23] mate yamejaa mdomoni yaniKwa hiyo hamu imekujia ghafla baada ya kusema nakuja na keki[emoji23]
😂[emoji23][emoji23][emoji23] mate yamejaa mdomoni yani
Njoo nayo basi[emoji23]
Mwanza kama mwanza
Yani vinajikutaga kutaga tu kama vyenyewe vina haki muda woteNina kamoja hapa, yaani sijui kanajikuta kenyewe ni ka nani sijui[emoji57][emoji57]
Yebooo🧚♀️🧚♀️Mwanza kama mwanza
Kabisa tena tusikerwe Kwa namna yoyote ileKwa raha zetyuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]