Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,551
- 235,319
Dah yaani umenichekesha,,jana mama na dada wanaingia chumbani kwangu,wakaingia haraka haraka wakafunga mlango..nikaanza kucheka.Tena wewe inatakiwa umpate mume ngangari kama wa kanda maalumu ukileta mambo yako chap Kwa haraka anakuzibua🤣🤣🤣vinginevyo utampanda hadi kichwani.
Hebu tuache masihara..hivi kwanini vilastborn vinapenda kuendesha watu?
acha kinidekeee mie.. nyie wakubwa pambaneni na hali zenuuu 😧😧😧Tushamuacha kilastboni chako
.....Ila unaroho ngumu wewe...ndo nini kupishana Na wageni?sijapenda hii tabia
Sawa dadaWaniache kabisa yaani.
Hawajui tulikotoka
Hallelujah(in Taraji’s voice)Sie wakarimu, hata ukitaka hotel tunalipia kabisaaa, sie kwetu wasukumu pesa na upendo sio shida kwetu
KwakweliHuyo ana undugu na kahawa
Ngoja kesho kutwa kama hivi yaanin😁😁😁Ndo uniambie ni lini sasa
Saint AnneUmemuona huyu kimbaombao?View attachment 2074721View attachment 2074722
Baba mtumishi tulime mbogamboga,hakuna namna[emoji6]
Tunajua kupenda na kudekezaaa 😁😁😁Hallelujah(in Taraji’s voice)
Jana na leo.
Hivi vidude bado vipo?
Sema HM mpole sana yaani hadi namuogopa.Sawa dada
Weka neno mkuu 🙂🙂.....
Vipo aisee ..Hivi vidude bado vipo?
Na alivyo mpole sasa uwiii🤗Yani...anazidi kuvuruga watu
Marrybrown ndo wapi tena...hizo sehemu za kishua hata sizijuagi ujueUsije kuwa wewe, kuna pisi kali moja tulikuwa tuna meet nayo karibia kila siku marrybrown inachapa ka espresso yake then hiyo inasepa hadi ikawa rafiki yangu.. 😁😁😁😁😁
Niliwahi viona miaka ya nyuma sanaVipo aisee ..
Nikienda Moro tena nikachukue
Hee tumeshakaacha🤣🤣acha kinidekeee mie.. nyie wakubwa pambaneni na hali zenuuu 😧😧😧
Watu wapole huwa magaidi sanaaa.. makatilii.. wanajifichia humo kwenye ukimywaaa fatilia magaidii wote, majambazi na watu wenye rohoo mbayaa huwa wapole sanaaa 😂😂😂Sema HM mpole sana yaani hadi namuogopa.