Pombe bhana..![]()
Halafu kama kachaga ee
nime "like"
nime "like"
![]()
like ya maneno, ile nyingine ya ukweli sijaonaJf Ni jalalaHumu unaweza kuitwa mgumba kumbe una watoto wa kutosha tena wenye afya zao.
Unaweza kuitwa single mother kumbe una mume na anakupenda na anakujali.
Unaweza kuitwa mal. aya unajiuza nk.. Kumbe una maisha mazuri tuu ambao hao wanaokuita kwao ni maisha ya ndoto zao.
Unaweza kuitwa jobless kumbe una ajira tena ya kudumu ambayo kuiacha ni siku ya kustaafu.
Kifupi huku ndivyo tulivyo baadhi yetu.
Mwendo wa kulewa maisha enyewe mafupi mamake.View attachment 1230083
Wow! 😍Unywele kama wote...Nawasalimu .View attachment 1230425
Mbona ndio ilikuwa ya kwanza. Nilianza na hiyo.like ya maneno, ile nyingine ya ukweli sijaona
Ooh nilikuwa sijaonaMbona ndio ilikuwa ya kwanza. Nilianza na hiyo.
Ungepost yako ingekua poa Sana.Wadada mbna hampost vyura tuone??
![]()
Hawezi, we subiri hapo hapo uone.
Drostdy Hof 🍷
Ndiyo inarefusha mpaka uume.Pombe inarefusha au