Huyo sasa tunamuachaje?
Maana ndiye kichwa cha Tz ,akiharibu basi Tz imekwisha.
Tumemuombea Mungu ampe hekima na watu sahihi wa kumshauri.
Somo lilikuwa ni uwezo wa kufanya maamuzi mazuri.