Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizi sehemu kuna mawili mkiwa partner mna renew mapenzi kwa mdaaa.. na ukiwa alone una enjoy zaidi.. unatoka mpyaaa hasa kama mkaaji wa zaidi ya 5days.. unatoka akili imesimama..
 
Nimejifunza vingi wallaqh.

Ningekaa executive??? Mshahara wangu wa miezi 3 πŸ˜‚ weeeeh em niache.
Tena nifanye ni'forget WiFi yao, inanifanya niimiss Mwanza.
 
Nimejifunza vingi wallaqh.

Ningekaa executive??? Mshahara wangu wa miezi 3 πŸ˜‚ weeeeh em niache.
Tena nifanye ni'forget WiFi yao, inanifanya niimiss Mwanza.
😁😁😁 Executive ndio maisha.. unajiweka kule siku zako tanoo.. unatoka safiii.. hela zinatafutwa tu πŸ˜‚πŸ€•πŸ˜‚πŸ˜‚.. wecheni ubahiri kama wa Saint Anne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…