Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Wengine kufa kubudu hatuwezi,tunajikuta tusharopoka.Sipendi siasa wala kujibishana Na mtu Na ndio maana hunikuti nikisema chochote unaweza kujua sipitiagi hayo majukwaa ee[emoji16][emoji16]nayapitia Kwa ukaribu mkubwa mno lakini kimya kimya nikiguswa sana nitalike tu.
Ubishi kama wa Saint Anne aise sijawahi kubarikiwa nao[emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sample PM amevaa gauni la kitenge though picha ni black and white ila frem inasomeka..
Moyo unao aise..kwangu ukishaanza kubishana au matusi basi majibu ni mawili..nikae kimya au nikujibu utumbo uliooza 🤣🤣Wengine kufa kubudu hatuwezi,tunajikuta tusharopoka.
haahah si umeshaelewa!? majibu nije kuchukua saa ngapi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Looooh!
daah roho inaniuma ..
Kwahiyo[emoji41]daah roho inaniuma ..
Mimi mtu akinitukana anajichosha tu,zaidi sana atakuwa anajidhihirisha kiwango chake cha upumbavu.Moyo unao aise..kwangu ukishaanza kubishana au matusi basi majibu ni mawili..nikae kimya au nikujibu utumbo uliooza [emoji1787][emoji1787]
Hakukuwa na watu wengi kwenye uzi muda huoUlifanya surprise maana waliona watu wachache .
tufanye tu makabidhiano nimeshakubali..Kwahiyo[emoji41]
Wateule tu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulifanya surprise maana waliona watu wachache .
Hakika nyinyi ni wateuleWateule tu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuliletwa na Roho wa Bwana.
Ipo jikoni hivi.Hakika nyinyi ni wateule
Keki bado ?
Ooh vyemaIpo jikoni hivi.
Naisubiri,ndio lunch yangu.
Kazi kwako[emoji120]tufanye tu makabidhiano nimeshakubali..
Hadi unatamani kulia nawe[emoji41]Niko ktk msiba wa wanyakyusa mikocheni, kha wanalia hao balaa
[emoji8][emoji8]
Chakula saa ngapi mkuu.. 😁😁Niko ktk msiba wa wanyakyusa mikocheni, kha wanalia hao balaa