Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,358
Kama yale mazuzu yalikuwa yanasimama kupiga makofiππππππHahahahah sio upinzani ugumu ni pale mtu anapotetea uharo na kuuita ni pudding ya papai π
Ametupa moyo haswa [emoji23][emoji23] .Naona unawatia moyo wenye vitambi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hivi walipitwa na picha yako humu.
Shida inaanzia picha ishawapitaπSasa kwenye ile picha uliona upande wa tumbo kweli? Khaaa dogo mpana wewe
Wengine wanakuwa normal, na wengine inakuwa ni tatizo la kiafya. Wacha tumshukuru Mungu kwa vitambi vyetuMdada nikiona anakitambi akili inahama kabisaaa.. ila wenye vitumbo kama rula kama nyoka nawaoneaga sana huruma.. nahisi watakuwa wagonjwaa eeeh [emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli nitafute pesa tyuuh. Niache makasiriko. HahahahSasa mlongo,tulia kuwa mpole eeeh
TAFUTA PESA
munalove@
Kuna mabwege wawili CM 1774858 na mwenzie wa kuitwa sunk cost fallacy hawa ndio wananitia BanKama yale mazuzu yalikuwa yanasimama kupiga makofiππππππ
Haki ya nani tuendelee kuupiga mwingi.
Hongereni kwa kweli[emoji23][emoji23]Sasahivi wakereketwa tumekuwa wengi na hamna hali ngumu kama kuwa upande ambao hausapoti[emoji23][emoji23][emoji23].
Miaka ya nyuma nilikuwa naenjoy,,,ukweli ni kwamba nilikuwa shabiki wa Magufuli.
Wakati yeye ana katumbo kadogo kiuno kimejikata hicho na hapo tayari ana watoto.Ametupa moyo haswa [emoji23][emoji23] .
Huyu wa pili nimemkuta naye yupo kuinanga serekaleππππ.Kuna mabwege wawili CM 1774858 na mwenzie wa kuitwa sunk cost fallacy
Huyo mtoto ni mpana jamani, mtu nimepost tu miguu, yeye eti ameona hadi tumbo khaaaAmetupa moyo haswa [emoji23][emoji23] .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]af wakimaliza shule mapenzi yote kwenye mishemishe au mume!? mi nataka full time partnership..
nyingine inakuja..Kuna mabwege wawili CM 1774858 na mwenzie wa kuitwa sunk cost fallacy hawa ndio wananitia Ban
Kuwa mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli nitafute pesa tyuuh. Niache makasiriko. Hahahah
we kimbia tu ukisahau ntakukumbusha tena..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2073299
Umeamua unifate nyumbani kabisa πnyingine inakuja..
Tuendelee kuupiga mwingi wakereketwa.Hongereni kwa kweli[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawaah.Kuwa mpole
Watu na miili yao jamani , mtu unazaa hadi na bado upo na flat hivyo .Wakati yeye ana katumbo kadogo kiuno kimejikata hicho na hapo tayari ana watoto.
Wenzangu na mimi bado hatujazaa ila matumbo yashamwagika..mazoezi muhimu,tukatae vitambi.
Shemela mbona mie sijaonaπKajilazimishe
hahaah si unajifanya umekunywa maji ya bendera we nshakwambia kitambo tuendelee na mjadala wetu kuhusu touareg na vibaby walker mambo ya siasa yatakuzeesha huskii..Umeamua unifate nyumbani kabisa π