Thank you madam kwa kupita kijiweni
Tafadhali kwa niaba ya mdogo wangu Saint Anne na wana selfika woote naomba ukumbuke ku share selfie za pale mahali hakika ni pazurii
Yaan humu saiv watu wanaweka picha na kufuta, sisi wenine tuko buzzy na mambo mengne nje ya humu, sasa tukija tunakuta manyoya tyuuh kuku ashaliwaa lol,