Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Karibu aise...loh😍Asante sana 🙈
Karibu aise...loh😍Asante sana 🙈
Sijui hata kama unakumbuka maneno yanhu kweli🤦♀️Its furahi day...View attachment 2072406
Sijui hata kama unakumbuka maneno yanhu kweli![]()

🤣🤣🤣🤣Nishasahau kumbe nilifunga pm
😆,na pa kufungulia sipaoni.
Walaa🤣🤣🤣🤣
PM zilikua zinatiririka sana hadi ukaamua kufunga sio.
Unajidai kulia??
MhhhUnajidai kulia??
Yaani wewe!

Fungua PM utakosa wachumbaNishasahau kumbe nilifunga pm
,na pa kufungulia sipaoni.

Kuna wapya tena?😂Fungua PM utakosa wachumba![]()
Kuna wapya tena?😂Fungua PM utakosa wachumba![]()
Unacheka?Mhhh![]()
Ha ha ha ha ha!!!!Walaa
Kujishaua tu,hamna lolote😀
Ahaaa wengi tuKuna wapya tena?![]()
Wee usinambie🤗Ahaaa wengi tu
Kemea kabisa usiniombee mabaya my exKuna wapya tena?
Unacheka?
Unachokitafuta utakipata.
Kweli mkuu.Ha ha ha ha ha!!!!
Siamini.
Wengi wamekuelewa humu ohoooWee usinambie![]()
Kama huyu unambania ndio wachumba haoKweli mkuu.
Kuna mambo huwa mtu anafanya hata bila sababu za msingi.
Unayatafuta mwenyewe kwenye hizo pombe.Kemea kabisa usiniombee mabaya my ex
Na huu ubishi kichwa ngumu hiki?😂😂😂😂😂😂😂Wengi wamekuelewa humu ohooo
Sio waagape bana...ule wenyeweUnayatafuta mwenyewe kwenye hizo pombe.
Mimi nakupenda upendo wa agape wa dhati kabisa ndiyo maana nakuambia.