Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Pole sana msukuma!Wabeja (Asante) [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pole sanaUwiii !!!
View attachment 2072135
Kumbe mziki wa Covid sio wa kitoto aisee. Juzi usiku nilifikiri this is it. I am done on this planet lakini Mungu si Athumani aisee jua likachomoza salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ulikuwa ni mwendo wa ku-monitor presha, kiwango cha Oksijeni na joto la mwili - indicators 3 za muhimu sana kwa mgonjwa wa Covid.
View attachment 2072137
Mwili bado haujakaa sawa 100% ila ni mwendo wa malimau na tangawizi kwa sana. Nimeweza hata kwenda jogging leo. Mungu ni mwema aisee...Maisha...Uhai!
View attachment 2072141
Pole mzee,, usiache kwenda joggingUwiii !!!

Wana wivu haooChap Kwa haraka nakuambukiza.mbona banned tena
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji2937]Chakula kitamu sana hiki mkuu
Wewe ndiye msaidizi wake?Kwa wanaopenda kujifunza Neno la Mungu,maombi na maombezi..Mwalimu Christopher Mwakaseghe yupo hewani muda huu.
Sijajua lengo la swali lako ni lipi ila anyway, mimi Mwanafunzi wake.Wewe ndiye msaidizi wake?
Karibu tena Extro..Wana wivu haoo
Sasa mbona hako kaugali ni kadogo tu, ndiyo maana tukajazia na chapati[emoji849]Kazi yako itakua sio ya mchezo mchezo aseeh! Nahisi Inatumia nguvu sana!
Utakuwa ulileta shida mahali extrovert.Wana wivu haoo
Uwiii !!!
View attachment 2072135
Kumbe mziki wa Covid sio wa kitoto aisee. Juzi usiku nilifikiri this is it. I am done on this planet lakini Mungu si Athumani aisee jua likachomoza salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ulikuwa ni mwendo wa ku-monitor presha, kiwango cha Oksijeni na joto la mwili - indicators 3 za muhimu sana kwa mgonjwa wa Covid.
View attachment 2072137
Mwili bado haujakaa sawa 100% ila ni mwendo wa malimau na tangawizi kwa sana. Nimeweza hata kwenda jogging leo. Mungu ni mwema aisee...Maisha...Uhai!
View attachment 2072141
Ulijilipua wapi mkuu?Wana wivu haoo
Nkamu unaogopa nini?I'm very shy kwenye kuselfika nkamu gwangu, but one day hopefully nitapata ujasiri ππ.
Kuna kitu kimenipita hapaSasa hapa naweza lala unono... mtoto wa mwanamke mwenzako umenifanyia fair sasa.. πππ