Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa hio mkuu lusifa yalimkuta kwa kuwaza tu na wala hakuingia kwenye tendo
 
In the spiritual realm; thoughts are objects.
 
Ok, najaribu kuelewa nashindwa.
Labda niombe kujua tena je unaweza kuhukumiwa kwa mawazo? Kama ni ndio vipi kwa mawazo yanayoghairishwa?
Ayubu 3:25
Maana jambo hilo nichalo hunipata, Nalo linitialo hofu hunijilia.

( Tafsiri nyepesi ), anasema jambo ambalo huliwaza ( thinking, meditate) ndio ambalo hutokea ( humtokea).. action ( manifestation ya wazo)


Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano;

Solution
2 Wakorintho 10:5
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;

Wazo lolote baya usilichezee, piga chini 😁😁
 
Ok, najaribu kuelewa nashindwa.
Labda niombe kujua tena je unaweza kuhukumiwa kwa mawazo? Kama ni ndio vipi kwa mawazo yanayoghairishwa?
Sijui utakuwa umepata jibu?

Mathayo 21:28-31
28. Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.

29. Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.

30. Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, sitaki; baadaye akatubu, akaenda.

31 Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
 
Ok, najaribu kuelewa nashindwa.
Labda niombe kujua tena je unaweza kuhukumiwa kwa mawazo? Kama ni ndio vipi kwa mawazo yanayoghairishwa?
Temptation ( sio dhambi), ila uki entertain inageuka na kuwa dhambi.. sasa hivi likija wazo la kuiba, ( jaribu), ilo wazo naweza li entertain hadi nikaiba kweli ( kosa dhambi), pia linaweza likaja pia nikalifuta maana nimeshinda jaribu.. so kuwaza inakuja kuwa kosa pale unapo furahia hilo. wazo na hasa kama ni baya,
 
Ahaaa, nimeelewa.
Mimeuliza hivyo maana kama tungekuwa tunahimizwa kwa mawazo nadhani tungekuwa sehemu mbaya mno kwa sababu tunayo waza yalio mabaya bila ya kutenda ni mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…