Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Rafiki umenipiga pin hata mie nisikutumie PM asalaleeee walahiii 😬😬😬😬 the dunia haipo fairWimbo mzuri sana
Huwa nikisikiliza unanibariki mno
Hakika Yesu ametushindia
Rafiki umenipiga pin hata mie nisikutumie PM asalaleeee walahiii 😬😬😬😬 the dunia haipo fairWimbo mzuri sana
Huwa nikisikiliza unanibariki mno
Hakika Yesu ametushindia
Umechelewa sana hadi nimeifuta bwana weee acha niangalia kwenye binSawaaa
mbona fitina mingi mkuu Pendael24 😂😂😂Leo usiweke picha![]()
Chaaaaa😂😂😂😂😂Ndiyo maana nimekutumia picha, hadi leo hazijafika![]()
Sijambo
ImeshakupitaChaaaaa
Kweli napishana na gari la mshahara.
Ngoja nitafute simu yangu ya watsap nieke line chap.
JamaniUmechelewa sana hadi nimeifuta bwana weee acha niangalia kwenye bin
We usinitanie😒Imeshakupita
Mie huyu .. nimekupiga pini saa ngapi jamani .Rafiki umenipiga pin hata mie nisikutumie PM asalaleeee walahiiithe dunia haipo fair
😀😀😀😀.. au mod wamefunga PM nisiwe natumaa.. maana huenda mie ni kinara wa kutumia watu PMMie huyu .. nimekupiga pini saa ngapi jamani .
Au umenifananisha ?
Kha.. au mod wamefunga PM nisiwe natumaa.. maana huenda mie ni kinara wa kutumia watu PM

Hahahaaa..Sawa mkuu!Leo usiweke picha![]()
Dah!Hahahaaa..Sawa mkuu!
 Nimeweka kama dk 5 haupo nimefuta tena
Sio kidogo ndugu yangu, nilikua naumwa tokea asubuhi, mchana napata ahueni mara hilo tena nikajikuta nimezidiwa! Ila maisha bwana![]()
mudi Sarafina na sadio maneke Wana CoronaChaaaaa
Kweli napishana na gari la mshahara.
Ngoja nitafute simu yangu ya watsap nieke line chap.
Doh wanasema siasa mchezo mchafu! Pole sana!!
itakuwa sio riziki maana nimeweka na nimefuta tena, kama dk 4 nzima nimekuwekeaJamani, au sio riziki yangu?
🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu utamtoa roho Pendael24 jioni hii kashavurugwa vyakutosha !!View attachment 2071207
Kesho mida kama hii najaa dodoma kama pishi kula mbuziii 😀😀😀