Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Bado sijafika mwanza nimekwamia katikati ya nchi Kwa muda kidogoUmeona usafiri kimya kimya 😊😊😊... Kumbe ndio maana hutembezwi tembezwi.. unaingia mjini mwanza kama Spy 😁😁
Bado sijafika mwanza nimekwamia katikati ya nchi Kwa muda kidogoUmeona usafiri kimya kimya 😊😊😊... Kumbe ndio maana hutembezwi tembezwi.. unaingia mjini mwanza kama Spy 😁😁
Mate yananichuruzika jamaniNyama imepanda bei,tumehamia upande huu.View attachment 2070871
😁😁😁 Kwa mgogo eeh!!.. sasa tutapishana unakuja mwanza na mie narudi dodomaBado sijafika mwanza nimekwamia katikati ya nchi Kwa muda kidogo
Umazingua. Nikajua umekula ban.😁😁😁 Kwa mgogo eeh!!.. sasa tutapishana unakuja mwanza na mie narudi dodoma
Yawezekana tumepanda bus mojaView attachment 2070882
Hello Dom
Nilijua tu, haya machimbo yako huwezi kosaaa we muhuni 😁😁😁😁😁😁Umazingua. Nikajua umekula ban.
Hahahaa namfataga madame flani hivi kila siku anapost picha za misosiNilijua tu, haya machimbo yako huwezi kosaaa 😁😁😁😁😁😁
Hatuwezi kupishana kama unakuja kwanzia tarehe 10😁😁😁 Kwa mgogo eeh!!.. sasa tutapishana unakuja mwanza na mie narudi dodoma
😀😀😀 mie sio kadogooo.. nishakusoma una salandia nanii hukuHahahaa namfataga madame flani hivi kila siku anapost picha za misosi
Asante Rafiki .Karibu sana![]()
Yes Shem darling nimefika salama namshukuru Mungu.habari ya wewe..Umefika salama?![]()
Shabibyumepanda gari gani?
🤣🤣 hamna mzee me wa low class. Najiendea Mawasiliano Park na Magu Hostel.😀😀😀 mie sio kadogooo.. nishakusoma una salandia nanii huku
😀😀😀 asee nipo kama upepo.. anytime nakuwa mahala flani napo jisikia kuwepo mda huo.. hapa nina mood sana kwenda chato.. moyo wangu umelalia chato.. nitatulia nahisi nikifika hapoHatuwezi kupishana kama unakuja kwanzia tarehe 10
😂😂😂 hiki mmeambiwa kiringe kipyaa eeeh... baada ya celeb.. asee wawindaji hamna maana..🤣🤣 hamna mzee me wa low class. Najiendea Mawasiliano Park na Magu Hostel.
Shabiby
Mi niko poa Shem Darling..Yes Shem darling nimefika salama namshukuru Mungu.habari ya wewe..
Saint Anne upo mdogo angu?