Selfika na JF: Snap it. Show it

Jumatano ndio viwanja vinawaka, namsubiri Chakorii nitampeleka kiwanja kimoja mwanza.. Jumatano huwa kinawaka kuliko hata ijumaaa [emoji4][emoji4].. hizo dawa watoto wa. mjini watazijulia wapi
Mie ndo mtoto wa mjini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akati madawa ya kienyeji nayajua vizuri sana
 
Hahahaaa...ambao hawajakaa na bibi zao vijijini hawawezi jua dawa za kienyeji!
Mie ndo rafki angu bibi, amenionesha madawa mengi, mengne hata sjui ntafanyia kaz lini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…