Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaifananisha naya Lecturer wako eeh?[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapa mie. Hakna viumbe nawaogopa km lecturers hasa wanaonifundisha, na sitaki hata mazoea nao labda awe wa kike ndo ntamzoea kidg tena kwa mipaka.

Hebu weka picha kubwa ya PC hiyo, mie nimetokea kuipenda, pengine naweza enda nunua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiwaogope ni watu wa kawaida sana. Kama umeipenda nakutumia specs zake[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…