Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Sijui nilikimbiaje ni kama mtu kwenye ajari mwingine hajui aliponaje.. 1 year safi sema sifanyagi nao matusi mie bado bikra najitunzaaa huwa wanakuwa marafiki zangu tu wa story na out 😉😉😉😉[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee ulikimbia vp,? c ungeacha had mwsho uone anataka afanyie nn, yaan uko chuo ndo ujue kuzagamuana kabla ya wakati? Afu nmeona uzi fulan unahadithia kuwa wee mingle zako n 1St yr wa chuo tyuuh, tena unasisitiza kabisa, ko unataka washamba tyuuh wasio na mambo mengi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Majaribu ni mtaji wa kuongeza imani!Nitatoboa tu, huwezi jua mshindi atachukua nini 😂😂😂.. majaribu ni mengi ila nitashinda
Kabisaa hata usijaribu, ila jaman mwanaume awe mrefu, mwembamba afu mweusi flan iv, awe na ndevu za kichokozi, mie huwa navurugwa kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi kujaribu
Haiwezi kuwa mizito hata wapandishie tu 😂😂😂Hii miguu siku nikimpandishia mtoto wa mtu lazima shingo ivunjike
Siwezi kujaribu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kipenzii utamuua plz hata usijaribu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana wa hovyo hovyo? Hivi kule Twitter hujapata tuzo za wahovyo?Sijui nilikimbiaje ni kama mtu kwenye ajari mwingine hajui aliponaje.. 1 year safi sema sifanyagi nao matusi mie bado bikra najitunzaaa huwa wanakuwa marafiki zangu tu wa story na out [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Mie nina matuzo kibao..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana wa hovyo hovyo? Hivi kule Twitter hujapata tuzo za wahovyo?
Haha mulemuleeee🤭🤭! mimi awe na body flani hivi asiwe mnene sana lakini yeah anipite urefu afu black huwa nafeel sana! Napenda sana kumkalia kalia yani nikimkalia anishike nishikike😳🤭!Kabisaa hata usijaribu, ila jaman mwanaume awe mrefu, mwembamba afu mweusi flan iv, awe na ndevu za kichokozi, mie huwa navurugwa kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ckuwezi kwa kweli, khaaaah
Weeeh nimeacha simu online nimekuoa mtamu mzuri mpaka basiii. Umenona ukajazia si kitoto... Napenda sana hio body!We ingia ukirudi utaikuta love
Si ndo hapo sasa..yani unile bila kutaka 😁😁haijawahi kutokea.ukinila ujue nilikulia taimingi Ila nikaamua kuzuga.Hamna mwanamke analiwa kimasihara, inakua ameamua tu na kuridhia mwenyewe.
Sie wanaume ndio tunafikiri ni kimasihara kumbe umeingizwa king.
View attachment 2068124
Haya upike kwanza🤣🤣Nalog off 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🤚🤚🤚🤚🤚🤚🤚!
Hapa ni hio ya kiono kakaa guu guu paja pajaa limenonaaaajeee😋😋😋! Linahamasisha sanaKwani kaweka ingne tena? Mbna sjaona. [emoji24][emoji24]
Sawa mkuuMwanangu next time.. ukiwa dar unicheki tupige trip asee.. najua itakuwa bonge la vibe [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena utakuwa umechoka Na kiu juu..kama umetoka jangwaniKwa hii shape kweli, nakutenga kwenye kiti alafu sijui nini kinaendelea 2022 nitatoboa nimechoka sanaaa
Yaan wanaume wa sampuli hizo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91].Haha mulemuleeee[emoji2960][emoji2960]! mimi awe na body flani hivi asiwe mnene sana lakini yeah anipite urefu afu black huwa nafeel sana! Napenda sana kumkalia kalia yani nikimkalia anishike nishikike[emoji15][emoji2960]!
Hahahaaa..Mwemba mwembamba kama huyu, na kipara chake na ka udevu flani hivi.. cocastic
View attachment 2068176