cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna wallah.Naweza kimbia hadi nikapaaaa [emoji16][emoji16][emoji16], nimekumbuka mbio kipindi nipo chuo kuna mwanafunzi mwenzangu akanipeleka uwanja wa fisi, ile kuona yale mambo alinikuta chuoni nimelala nilifikaje fikaje sijui, ndio mbio ambazo nitazipiga nikivamiwa na mrembo asahivi [emoji23][emoji23][emoji23]