Happy new year 2022
View attachment 2065254View attachment 2065256
Asante Mungu (Ngome yangu)
Wastahili sifa
Umeniokoa(mikononi)
Mwa watesi wangu wote
Baba asante (ngome yangu)
Wastahili (sifa)
Umemuabisha (ibilisi)
Endelea (kunilinda)
Kama mawimbi ya kifo yalinizingira
Hizo kamba za kuzimu zilinizingira
Hiyo mitego ya kifo ilinikabili
Toka mwaka jana mimi wanilinda
(Eeh Mungu)
Naona kibali chako leo nipo
(JEHOVA)
Wenzangu (wamekufa)
Mimi nipo (Amina
Wengine (wanaumwa)
Wameshindwa kufika
Yatupasa tuliofika tukusifu (Mungu wetu)
Kwa kuimba (tuimbe)
Tuimbe ( na tuimbe sana)
Kwa kucheza (tucheze)
Tucheze (na tucheze sana)
Mungu pokea sifa zote