Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Nini tenaa
Oooh lord
Glory glory
Oooh lord
Glory glory
Haha'..!! Me too I don't understand if I am single or I'm single single.!!
kwani itakuwa mbaya nikikutajia tu majina ya hivyo viwanja? Na nikupe na location zake
![]()


hiyo siyo namna nzuri ya kumkirimu mgeni kwa kweliiiYou're rightthe way you've posed em hands...
unajua expressions na gestures mbalimbali hutoa tafsiri mbalimbali/huzungumza/hu express
even hata kwa pic nyingine ulishare last time...
Maelezo tafazali 😂😂🏃Haha'..!! Me too I don't understand if I am single or I'm single single.!!
Haha sasa namna ipi ni nzuri na Leo ndio kwanza jumatatu 🏃hiyo siyo namna nzuri ya kumkirimu mgeni kwa kweliii
Yaani imegoma kabisa, nikicrop inabaki jicho tuHivi hujafanikiwa tu kucrop hiyo sura yako ikafit kwenye screen utupostie? Au ndo imezidi upana?



Single single is the branch of science in relationship which deals with all the complicated circumstances in that situation where you don't even understand whether you're dating a soulmate or a baharia..!!Maelezo tafazali 😂😂🏃
Can't a baharia be your soulmate tho?Single single is the branch of science in relationship which deals with all the complicated circumstances in that situation where you don't even understand whether you're dating a soulmate or a baharia..!!




Haha'..!! Me too I don't understand if I am single or I'm single single.!!
Sio single single 😅😅Tuko single sisi![]()


Eti yeleuwiih.
Tatizo lako jeuri sana.
Depal kwa hiyo picha mafisi tumeanza kuogopa si unajua miaka 30 ya Magu.
Mbona kwenye picha upo decent sana mdogo wangu tofauti na ukhalisia!?
Unauzungumzia uhalisia gani? Utundu Wa nyuma ya keyboard au 😅Mbona kwenye picha upo decent sana mdogo wangu tofauti na ukhalisia!?
😂😂😂 miaka 30 ukijumlisha na uliyonayo unatoka huko kikongweDepal kwa hiyo picha mafisi tumeanza kuogopa si unajua miaka 30 ya Magu.
For the love of beautyplus cameraNa iwe hivyo!View attachment 1225902
Beautiful plus si app inayofanya object iliyo pichani iwe beautiful??For the love of beautyplus camera
Hahahaha hapana nadhani anakuwa Zubeda tuBeautiful plus si app inayofanya object iliyo pichani iwe beautiful??
Zuberi akiitumia hii awi zuwena kweli?