πππ
Manzi wa mwakisolelo uwata,,
Pombe ni mbaya jamani,,,ile tu nilikuwa natamba nayo humu kuna mtu alikuja nikampa,nikataka nionje...ile kufungua tu aiseee harufu yake ni ya pombeπ.
Tuishi humohumo tu kama machalii waefeso wa agano jipyaπππ