Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaah nakuaminia kamanda wangu; hapo ni ushashushia tu lunch

Saint Anne wewe ubaki tu kuwa manzi ya Agano Jipya Mwebrania, huu mziki huuwezi. [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂
Manzi wa mwakisolelo uwata,,
Pombe ni mbaya jamani,,,ile tu nilikuwa natamba nayo humu kuna mtu alikuja nikampa,nikataka nionje...ile kufungua tu aiseee harufu yake ni ya pombe😒.


Tuishi humohumo tu kama machalii waefeso wa agano jipya😂😂😂
 
Na hivi vichwa vyetu vibovu; tusije tukatrend insta mweeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…