Miamba ya muziki wa Kongo enzi zetu inaishia ishia sasa. Kuanzia Luambo, Tabu Rey, Madilu, Papa Wemba, Aurlus Mabele, Defao...kabakia Papa Mobimba Koffi angalau anazidi kulisongesha. Na sijui kama akina Diblo Dibala, Dalii Kimoko, Ngouma Lokitto na wengineo bado wana nguvu za kucharaza magitaa yao...End of an era for sure. Yaani gitaa linapigwa mpaka unalisikia kabisa hili hapa yaani...