Selfika na JF: Snap it. Show it

From January to December nimejua ulinilinda
Ni wewe
Tangu mawio machweo ulinipa huu mwangaza
Ni wewe
Nyakati za huzuni, furaha, zote unanipa amani
Milimani, mabondeni, kote unakuwa nami.

Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha pale ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Sina mwingine
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe.

Ujazae bodo langu mishale, vitani ni wewe Bwana
Ufutae uso wangu aibu na fedheha ni wewe Bwana
Hayupo mwingine aa kunifuta machozi yangu ila ni wewe
Ninapokosa ujasiri na nguvu zijaponiishia msaada wangu ni wewe.

Nchi ya ahadi ni nzuri imejaa asali
Iyee iyee, iyee iyee
Na mwisho wa njia ni mzuri kuliko mwanzoni
Wa kunifikisha ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Hayupo mwingine ila wewe Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe msaidizi wangu Bwana
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
Ni wewe Bwana, ni wewe
 
"Nyakati za huzuni furaha
Zote unanipa amani
Milimani mabondeni
Kote unakuwa nami"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…