Oohh!!thank you honey
maombi yamepokolewa mpk mbinguni!!
hako ka uvirgin sasaa....!!!
Huyo shosti ako ni kama Mimi nna mashosti wanywaji mpk madompo,ma K Vant ila Mimi sasa,
soda maji!washasema wamechoka wamenizoea and they r my live wananipenda sana na ubibi wangu wote!
Mimi nawaza sinywi Niko mtata,nikinywa itakuaje!!!
bora hivi hivi!