Hahahaha mie mwenyewe nilipiga mbili tu juzi kati nikaona weee hii ni nini naweka kwa mouth just to find out ni 7% niliwacha ujinga nikawasha chombo na kusepa
Hahahahah hilo li smirnoff sio chungu, kuna Desperado pia sio chungu pamoja na savannah! Kama ushakunywa savanna desperado ina same taste! Kuna ile flynig fish ya TBL pia sio chungu ile nayo ina ladha ya limao na sukari😅