Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 24, 2021 #129,161 Saint Anne said: Ngoja aje hapa utasikia majibu yake Click to expand... Nitakua nimejificha mbali sana😂 wacha aje
Saint Anne said: Ngoja aje hapa utasikia majibu yake Click to expand... Nitakua nimejificha mbali sana😂 wacha aje
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Dec 24, 2021 #129,162 Kupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,163 NaddySL said: Una nywele nzuri sana Wii, ila hupendi nywele! Unazikata tuu kila mara. Ndio penye miti hapana wajenzi? Click to expand... Nina kipilipili kigumu wii Ila nikikisuka kinalainika. Siku hizi sijisikii kukifuga ,,nafanya mchezo wa kunyoa na kusuka.
NaddySL said: Una nywele nzuri sana Wii, ila hupendi nywele! Unazikata tuu kila mara. Ndio penye miti hapana wajenzi? Click to expand... Nina kipilipili kigumu wii Ila nikikisuka kinalainika. Siku hizi sijisikii kukifuga ,,nafanya mchezo wa kunyoa na kusuka.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,164 Kisalilo said: Miyeyusho wewe Click to expand... Njoo mkuu
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Dec 24, 2021 #129,165 Nigendako said: Kupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu Click to expand... Tupo wengi mkuu wa Tandale kwa mfuga mbwa
Nigendako said: Kupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu Click to expand... Tupo wengi mkuu wa Tandale kwa mfuga mbwa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,166 Tinsley said: Basi una asili ya nywele , zinakua haraka . mie zangu hapa nilisuka style ya vitunguu hivi nashangaa nywele zimekatika , nakomaa nazo yaani . Click to expand... Nzuri wapi nazibembelezaga tu Nasukaga kwa sababu kuchana kila siku zinauma mno,,nina nywe ngumu kama jiwe. Ila nikianza kubana huwa nazifurahia.
Tinsley said: Basi una asili ya nywele , zinakua haraka . mie zangu hapa nilisuka style ya vitunguu hivi nashangaa nywele zimekatika , nakomaa nazo yaani . Click to expand... Nzuri wapi nazibembelezaga tu Nasukaga kwa sababu kuchana kila siku zinauma mno,,nina nywe ngumu kama jiwe. Ila nikianza kubana huwa nazifurahia.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,167 NaddySL said: Anakula ndio, ntakutolea vichwa na maganda ule nyama ya ndani kwanza.. Kuna dada msaidizi wa kazi alikujaga alivyowaona alikuwa kama wewe, nikamuonjesha, basi toka siku hiyo akanogewa. Click to expand... Mimi kwa kuwaona tu hata kuonja siwezi. Kaka atanivumilia tu
NaddySL said: Anakula ndio, ntakutolea vichwa na maganda ule nyama ya ndani kwanza.. Kuna dada msaidizi wa kazi alikujaga alivyowaona alikuwa kama wewe, nikamuonjesha, basi toka siku hiyo akanogewa. Click to expand... Mimi kwa kuwaona tu hata kuonja siwezi. Kaka atanivumilia tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,168 Everglow said: .View attachment 2055999 Click to expand... Kesho nanyoa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,169 Lenie said: Nitakua nimejificha mbali sana wacha aje Click to expand... Atakuja na verse zake hapa. Kwanza atanilima bonge la dislike.
Lenie said: Nitakua nimejificha mbali sana wacha aje Click to expand... Atakuja na verse zake hapa. Kwanza atanilima bonge la dislike.
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Dec 24, 2021 #129,170 Saint Anne said: Kesho nanyoa Click to expand... wee.... suka suka kidogo bwana
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,171 Everglow said: wee.... suka suka kidogo bwana Click to expand... A wapi Hazinivutii...
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 24, 2021 #129,172 Saint Anne said: Nzuri wapi nazibembelezaga tu Nasukaga kwa sababu kuchana kila siku zinauma mno,,nina nywe ngumu kama jiwe. Ila nikianza kubana huwa nazifurahia. Click to expand... Kuchana ni mtihani sana kwenye natural Ila nywele yako inawahi kukua .
Saint Anne said: Nzuri wapi nazibembelezaga tu Nasukaga kwa sababu kuchana kila siku zinauma mno,,nina nywe ngumu kama jiwe. Ila nikianza kubana huwa nazifurahia. Click to expand... Kuchana ni mtihani sana kwenye natural Ila nywele yako inawahi kukua .
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Dec 24, 2021 #129,173 Hii kitu ni tamu sanaa Saint Anne
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,174 Tinsley said: Kuchana ni mtihani sana kwenye natural Ila nywele yako inawahi kukua . Click to expand... Hazina uzuri wowote Nikianza kuchana nakata machanio. Mimi sasa nikinyoa huwa nawaza kuchana maana nina nywele ngumu sana. Naamua kusuka kwa sababu kuchana ni wakati wa kusuka tu,angalau napumzika kuchana maana nikinyoa basi kuchana ni kila siku.
Tinsley said: Kuchana ni mtihani sana kwenye natural Ila nywele yako inawahi kukua . Click to expand... Hazina uzuri wowote Nikianza kuchana nakata machanio. Mimi sasa nikinyoa huwa nawaza kuchana maana nina nywele ngumu sana. Naamua kusuka kwa sababu kuchana ni wakati wa kusuka tu,angalau napumzika kuchana maana nikinyoa basi kuchana ni kila siku.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,175 sumbai said: Hii kitu ni tamu sanaa Saint Anne View attachment 2056050 Click to expand... Hii lazima nionje. Washanijaza nayo upepo akina Extrovert na ISO M.CodD
sumbai said: Hii kitu ni tamu sanaa Saint Anne View attachment 2056050 Click to expand... Hii lazima nionje. Washanijaza nayo upepo akina Extrovert na ISO M.CodD
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,176 Nigendako said: Kupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu Click to expand... Nipo mimi unga unga
Nigendako said: Kupitia huu uzi itoshe kusema JF imejaa Wakishua Tupu... Unga unga mwana tupo wa kuhesabu Click to expand... Nipo mimi unga unga
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Dec 24, 2021 #129,177 Hornet said: View attachment 2055899 Click to expand... Hornet nacheka hii pombe inajuaga kuwakaanga watu
Hornet said: View attachment 2055899 Click to expand... Hornet nacheka hii pombe inajuaga kuwakaanga watu
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Dec 24, 2021 #129,178 Jack Palladino said: Jager shotView attachment 2055902 Click to expand... shikamoo
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Dec 24, 2021 #129,179 Saint Anne said: Hazina uzuri wowote Nikianza kuchana nakata machanio. Mimi sasa nikinyoa huwa nawaza kuchana maana nina nywele ngumu sana. Naamua kusuka kwa sababu kuchana ni wakati wa kusuka tu,angalau napumzika kuchana maana nikinyoa basi kuchana ni kila siku. Click to expand... Wenye nywele ngumu tunapata shida sana , Hupendi kunyoa kwa style au curl hivi ? Kusuka huwa kunasave sana .
Saint Anne said: Hazina uzuri wowote Nikianza kuchana nakata machanio. Mimi sasa nikinyoa huwa nawaza kuchana maana nina nywele ngumu sana. Naamua kusuka kwa sababu kuchana ni wakati wa kusuka tu,angalau napumzika kuchana maana nikinyoa basi kuchana ni kila siku. Click to expand... Wenye nywele ngumu tunapata shida sana , Hupendi kunyoa kwa style au curl hivi ? Kusuka huwa kunasave sana .
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 24, 2021 #129,180 Tinsley said: Wenye nywele ngumu tunapata shida sana , Hupendi kunyoa kwa style au curl hivi ? Kusuka huwa kunasave sana . Click to expand... Huwa nanyoa kipendwa tu😂
Tinsley said: Wenye nywele ngumu tunapata shida sana , Hupendi kunyoa kwa style au curl hivi ? Kusuka huwa kunasave sana . Click to expand... Huwa nanyoa kipendwa tu😂