Weweee!
ABV 37.5% mziki mzito huo. Mi mwenyewe niko chimbo hapa hata sijui nitaondoka na nini ila natafuta mchanganyiko maalum...ule wa kulewesha "kistaarabu" [emoji16][emoji16][emoji16]
Gheto nina Grand Marnier ya kutosha hapa natafuta visindikizio tu...Holidays!
View attachment 2054917
Eeeh!![emoji23]Wacha weeeee... emergency zingine azi apply home [emoji23][emoji23][emoji23]
Ohooo ndio ivyo tena.. kuna dharula zingine hazinogi tukiwa home yani kama kimasiharaa vile ila sio kimasiharaEeeh!![emoji23]
Hebu dadavua kidogo
Ulipatwa na nini?Nimeokoka siku hizi ndugu yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Tamu sanaaaaNimeitamani [emoji7][emoji39]
Ni tamu?
Wewe ukiniambia kitu kitamu basi mimi nakugroup kwenye ladha ya muarobainiTamu sanaaaa
Khaaa!Ohooo ndio ivyo tena.. kuna dharula zingine hazinogi tukiwa home yani kama kimasiharaa vile ila sio kimasihara
Hii kweli itakuwa tamuSanaView attachment 2054942
Si unaona nilipo
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ukiniambia kitu kitamu basi mimi nakugroup kwenye ladha ya muarobaini
Siwezi nikakusikiliza kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kasema, vichoche vya kupona haraka ni uaridi pembeni 😊😊😊Khaaa!
Wewe si hadi upone jipu
Basi hauumwi[emoji23]Nani kasema, vichoche vya kupona haraka ni uaridi pembeni [emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi hata hii siwezi kunywa[emoji2296]
Naumwa ungeniona navyopata taabu kukaa, ungenipakata aseee.. ☺️☺️☺️☺️Basi hauumwi[emoji23]
Why redbull?
[emoji23][emoji23][emoji23]Naumwa ungeniona navyopata taabu kukaa, ungenipakata aseee.. [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Acha woga exSiwezi nikakusikiliza kabisa
Tamu sanaaaa