financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Hee chini ana mayebo yebo na kibukta hahaa akii nilijua labda ni wewe unafanana naye😂😂Ni the same person. Yaan yuko live kwenye segment flan ya CNN, Sasa kumbe chini kala kinjunga tu [emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]View attachment 2054091
Katika hali isiyo ya kawaida maiti inaonekana imeshikilia laptop mkononi na ipo kwenye maji na maji kuizunguka maiti yanaonekana yametulia hakuna vibration yoyote!! [emoji1474]Duh Kwanini
Bava zikom..Mngoni ameamka now[emoji41]
Hapo bado alikuwa haijui V eitee!!
[emoji7][emoji39]
NikaribisheniNgoja mahondaw aje akukaribishe
KaribuNikaribisheni
[emoji847]Karibu
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sanaNimesimama hapo kimara hadi mwendokasi wakanifukuza[emoji23]
Unilipe fidia[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku zote hizo tushamaliza na kumaliza
Kama dawa mgonjwa ashadead na matanga tayar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji38]Kama dawa mgonjwa ashadead na matanga tayar
Supu kama hiyohiyo[emoji847]