Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa subiri coursework zije uone kama ndizi walizoenda kula zitawasaidia[emoji38]

Kulikuwa na lecturer anaingis tar 26 asubuhi mjinga yule[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwenye coursework ni kutafutan tyuuh,
Ila lecturers wana masifa khaaa, sasa tar 26 c n sikukuu bado [emoji23][emoji23][emoji23]

Lengo kukomoa wanafunzi tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeona eeh??
Wanatusifia humu,wakati huko wanatuponda na wamefanya wanawake wasijiamini waanze kujichubua.


Mimi cheusi mangala nitapambana na rangi yangu hadi mwisho wa dahari[emoji1787]
 
Umeona eeh??
Wanatusifia humu,wakati huko wanatuponda na wamefanya wanawake wasijiamini waanze kujichubua.


Mimi cheusi mangala nitapambana na rangi yangu hadi mwisho wa dahari[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mwanaume wanavosifia weusi had unajiuliza hawa wanaochibua wanatafuta nn? Sasa tazama kiundani ndo utajua uhalisia,

Km huyu aliesema kwamba humu hakna pisi kali ila wapo wife material, unadhan sababu nn? Weusi yaan yeye alidhan wapo weupe kakuta tofauti ndo akawa anananga vile,. Wee dafa zangu nyie mlivokua wazuri lol.

Yaan mwanaume kila mwanamke mweupe n mzuri. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…