Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,836
Tatizo lenu mnakompuliketi mno mambo. Mimi mdada akiwa na mtako tu basi otomatikale hiyo ni pisi kali. Sasa unaangalia mpaka sura kwani mnakwenda kushiriki Miss World? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hii thread imenifanya nijue raia za JF zinaonekanaje,atleast inakufanya uone upo mtandao wenye binadamu.
Japo katika ID 10 nilizokua nikidhani ni Pisi kali za kwenda nimeangukiaa PUA na namshukuru Mungu sikuwahigi hata zipaparikia[emoji23]
Sema JF imejaaa wadada wa kawaida munoooo zile sura za kuweka ndani kama (WIFE) ndio zimejazana..
Sura za kutembea kulia bata zinahesabika walahi tena yakupasa uwe na darubini kuzipata pisi kali..
Ila WIFE MATERIAL FACES zimejazana kila angle, Nahitimisha kwa kusema JF ina wife material wengi sana hakiiiii tena.
Gentlemen jiongezeni wadada wa humu wako na sura personal Mno, its safe to marry them let us Work out ktk hili.. Tupambanie hili Guys.
Aiseeehhh! Sijanunua! Mimi Nimevikuta pahala tuNaona sijui misuli iliyosinyaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Yote kwa yote kama kuna mtu umemnunulia hakikisha kwanza anacheki afya ya moyo wake vinginevyo mtaishia kuimba [emoji443][emoji445]Parapanda italia parapanda[emoji445][emoji443] [emoji2099]
Nadhani ni madawa ya kuongeza nguvu za kiume yaliyotamalaki kila kona. Na watu wenye tatizo hilo hupita njia za mkato tu na kufakamia haya madawa yanayouzwa kiholela hata bila kujua hasa kiini cha tatizo ni nini. Mara nyingi tatizo hilo, ukiachilia mbali sababu zinazosababishwa na mfumo mbovu wa maisha, linasababishwa na matatizo mengine ya kiafya kama shida za moyo, presha, kisukari n.k. Kupita njia ya mkato tu na kutumia haya madawa kunaweza kuwa na madhara makubwa zaidi kwa mtumiaji kwa sababu kama kiini ni moyo wenye matatizo au presha mtu anaweza kujikuta anazimika na huo ndo mwanzo wa kuimba parapanda...Kivipi sasa rafiki hio parapanda kiaje????!! Hapana sijanunua mimi mimi nimevikuta pahala sasa tu!!
Dohh! Asante sana kwa ufafanuzi mkuu!πNadhani ni madawa ya kuongeza nguvu za kiume yaliyotamalaki kila kona. Na watu wenye tatizo hilo hupita njia za mkato tu na kufakamia haya madawa yanayouzwa kiholela hata bila kujua hasa kiini cha tatizo ni nini. Mara nyingi tatizo hilo, ukiachilia mbali sababu zinazosababishwa na mfumo mbovu wa maisha, linasababishwa na matatizo mengine ya kiafya kama shida za moyo, presha, kisukari n.k. Kupita njia ya mkato tu na kutumia haya madawa kunaweza kuwa na madhara makubwa zaidi kwa mtumiaji kwa sababu kama kiini ni moyo wenye matatizo au presha mtu anaweza kujikuta anazimika na huo ndo mwanzo wa kuimba parapanda...
Ndicho nilichomaanisha best...
I was abt to ask kuhusu jamaa. Msalimie sana. I hope amesolve ile ishu yake[emoji28]
Umejitahidi,usinyoe banaNimejitahidi sijanyoa[emoji23]
[emoji23]Umejitahidi,usinyoe bana
Kama ni hicyo zinyoe ziwe sawa,hapo zitakuwa mbele ndefu halafu nyuma ni fupi[emoji23]
Zimekaa hovyo,,nilinyoa style fulani,nyuma ni fupi.
Nawaza ninyoe zote ziwe level ili nianze kusuka vizuri.
5km 28min 50 sec?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wife materials.
Jirani walikukamatia wapi?Zoezi lilibadilika kidogo ..nimetembelewa na nyoka nyumbani.
I had nothing to do rather than asking for help.View attachment 2052688
ππππππJirani walikukamatia wapi?
Maana I can imagine vyenye ulitoka mkuku
Yeah najuaBtw,unajua nataka niniπ€
Chaaaaa!ππππππYeah najua
Unataka nije niue nyoka π€£π€£
Vipi dakika ni nyingi mno au chache?5km 28min 50 sec?!
Hahahaha[emoji23]Tatizo lenu mnakompuliketi mno mambo. Mimi mdada akiwa na mtako tu basi otomatikale hiyo ni pisi kali. Sasa unaangalia mpaka sura kwani mnakwenda kushiriki Miss World? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2053812