ewa haya ndo mambo ya disemba, sio disemba inafika unaanza kuwaza ,kodi,mara cjui nn,
Disemba mpk january ni bata tu
Wekeni na kitimoto bas.
Karibu sana, ukiona hali tete ya nauli sema nikuelekeze kituo ukajaze Wese bure 😜Ngoja nitafute nauli nije kesho chap[emoji4]
[emoji126][emoji126]woyoooKaribu sana, ukiona hali tete ya nauli sema nikuelekeze kituo ukajaze Wese bure [emoji12]
Alafu hiyo namba ....145....alikuwa anaandikiwa Nani? Hata kama sijavaa miwani, kwenye hiyo sekta ya wivu nina B+ 🙈View attachment 2053464
[emoji1635]
PouwaPale nilipokwambia siku ile??
MeatballsGetting there [emoji1786][emoji1786]
View attachment 2053321View attachment 2053322View attachment 2053323
Nikugawie hichi kitambi kilichomwagikaKakiuno[emoji177]
Nshatoka sasa 😒😒Pouwa
Kakiuno kadogo hivyo kanatoa wap kitambiNikugawie hichi kitambi kilichomwagika
Okay asanteeWasafiri wa December hao [emoji57][emoji57]
Pole [emoji19]
Pata Azuma asap!!!
Azuma zimekua famous sana kipindi hiiiWasafiri wa December hao [emoji57][emoji57]
Pole [emoji19]
Pata Azuma asap!!!
Lahaula lakwata..nilivokuwa nakimbizana makumbusho thathaNshatoka sasa [emoji19][emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii thread imenifanya nijue raia za JF zinaonekanaje,atleast inakufanya uone upo mtandao wenye binadamu.
Japo katika ID 10 nilizokua nikidhani ni Pisi kali za kwenda nimeangukiaa PUA na namshukuru Mungu sikuwahigi hata zipaparikia[emoji23]
Sema JF imejaaa wadada wa kawaida munoooo zile sura za kuweka ndani kama (WIFE) ndio zimejazana..
Sura za kutembea kulia bata zinahesabika walahi tena yakupasa uwe na darubini kuzipata pisi kali..
Ila WIFE MATERIAL FACES zimejazana kila angle, Nahitimisha kwa kusema JF ina wife material wengi sana hakiiiii tena.
Gentlemen jiongezeni wadada wa humu wako na sura personal Mno, its safe to marry them let us Work out ktk hili.. Tupambanie hili Guys.
tatizo unaweza soma comment ya mtu jukwaa la Urembo kule ukajisemea hii mtoto lazima itakua pisi tu sio kwa namna inajua kuvaa na kupangilia vitu asee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vizuri kuwa na less expectations katika kila jambo chief
Eti sura za kulia bata..hivi jf hii misemo mnatoaga wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
swadaktaDisemba ni mwendo wa bata ,January tunaanza upya maana maisha ni haya haya hakuna maisha mengine