Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu suna mie lol.
 
Angalau leo [emoji38][emoji38][emoji38]
mawardat na rukia16 babu yenu amesurrender!!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Wangoni bhana[emoji3]

Yaan wenzio wanalala,weye unaamka[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una 9t shift mlongo? Wangoni sahivi wanalala wee utakua una lako jambo.
Iv dagaa nyasa wamepanda bei bado? Iv uko town au Mbinga?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una 9t shift mlongo? Wangoni sahivi wanalala wee utakua una lako jambo.
Iv dagaa nyasa wamepanda bei bado? Iv uko town au Mbinga?
Mlongo,yaani sijafuatilia dagaa,nipo mbinga na shamra shamra za sikukuu[emoji3]
Sikukuu naenda peramiho nasikia kuna chimbo moja matata[emoji3]
 
Mhhhhhh!! Naijua hiyo?! Inaishia tarehe 27 Dec 2021
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yallah!
 
Mlongo,yaani sijafuatilia dagaa,nipo mbinga na shamra shamra za sikukuu[emoji3]
Sikukuu naenda peramiho nasikia kuna chimbo moja matata[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahahah huko kwa shamra shamra mbna ndo penyewe,
Wee peruu kuna chimbo gan mbna silijui hili ni jipya au?
We sikukuu hii pananoga la charlz na mtini, acha ushamba bas nenda chanta burri bomba 2, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenyewe hapa nasikilizia ratiba fulan iv ikikaa vyema, bas tar 24 jion ntakua Arusha, tar 27 ntateremka Dom, tar 29 ntaibukia Songea nakula good time had tar 2 jioni nageuza kurud Dar. Ko mwaka mpya tunaweza kuwa ote ukiwa na nafas.
 
Wewe,nasikia peramiho kuna chimbo kule[emoji3]
Mwenzio basi hayo machimbo nayajua basi[emoji3]!!!!!

Njoo bana, tuonane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…