Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,349
Unapoteaje hewani na ulimuona tangu jana anakuja MbeyaDah nmezingua kinyama sikua online bwana sijui atakua wapi Mimi nipo uyole
Highland[emoji91] si bdo upo upo mbeya? Leo mida flani sikua online
Mechi bado imechanganya huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu haamna wenzio ni style tyuuh ndo zina matter, yaan full kugalagazana.
Hakujui??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman usinambie kuhusu hicho kitu, naogopa sup zaidi ya chochote. Hawezi bhana couz hanijui.
Tupige vyombo vya fanta passion[emoji109]View attachment 2049092
Ukiwa ugenini machaguo ya chakula yanapungua, unakula kinachopatikana.
Makange[emoji39] [emoji39]
Mimi jana nilikosa usingizi,nimezurula humu hadi alfajiri usingizi ukanichukua.JF raha sana mi mwenyewe leo kuna uzi nimesoma nimecheka comments za watu hadi machozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama bdo yupo yupo mby hamna kilichoharibika mimi nipo mpaka January 5Unapoteaje hewani na ulimuona tangu jana anakuja Mbeya
Kwa ukarimu mlionionyesha naondoka zangu kesho asubuhi 😏😏Highland[emoji91] si bdo upo upo mbeya? Leo mida flani sikua online
Uko dunia ipi [emoji3]
Uko dunia ipi [emoji3]
Imekuaje Tena mbona kama Kuna mtu katuharbia sifa ya jiji letuKwa ukarimu mlionionyesha naondoka zangu kesho asubuhi [emoji57][emoji57]
Hawa watu ukiona unawaelewa ujue unakarbia kufa mkuu hawaeleweki[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 2049133View attachment 2049134View attachment 2049135View attachment 2049136View attachment 2049139View attachment 2049142
Ukibahatisha mnayeelewana wanaeleweka kirahisi sana mkuu [emoji16]Hawa watu ukiona unawaelewa ujue unakarbia kufa mkuu hawaeleweki
Basi na mimi nimuombe mungu nibahatikeUkibahatisha mnayeelewana wanaeleweka kirahisi sana mkuu [emoji16]