Kinyakyusa ni kimoja mkuu wanyakyusa wote tunaelewana. Na lugha yetu inaingiliana baadhi ya maneno na Kindali.
Sisi siyo kama wachaga. Kwamba eti mmarangu haelewani lugha na mmachame no sisi wote tunaelewana 100 percent.
Waambie
Saint Anne na
geraldincredible wakufundishe. Mimi bado sijakimaster vizuri kuna baadhi ya misamiati siijui.