Selfika na JF: Snap it. Show it

We mtoto umeweka avatar mwandiko huo niliouparaza kama bata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeumbuka mwenzio yaan, c nimeweka dp ktk pro ya tsup, na telegram, na nkaweka status, asa sijaficha hilo jina, nashangaa watu wawili wa class letu wanauliza kwan cocastic wa JF ndo wee? Nilinywea nipo mdogo km priton, yaan nmekataa sana.

Nkafuta haraka mno, maan najua ndugu zang weng wako huku JF, nashukuru wameona wachache,
 
Haaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hapo wambea wanaotumia gb watsap watakuwa wanaifaidi.
 
Haaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na hapo wambea wanaotumia gb watsap watakuwa wanaifaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mie unaniogopesha sasa, mbna ntabadili jina faster, hebu nifundishe wanabadilisha vipi jina,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…