Selfika na JF: Snap it. Show it

Japo sio mbali na town; nahisi tu ni kausumbufu utoke kule hadi town kutafuta msosi mzuri afu urudi kulala; otherwise utoke na msosi kabisa town. Better uende kuchil tu na kurudi zako mjini
Vyumba ni vya kawaida sana kama ni mpenzi wa kulala mahali pazuri, hapakufai ila mazingira yanavutia.

Changamoto nyingine ni chakula si kizuri na huduma kwa mteja pia haiko vizuri sana
 
Sidhani kama huku kwa kina Saint Anne & Heaven Sent kuna birian
Ngoja lunch time ifike tuone.

And yeahhh...Mbeya pazuri kweli. Nadhani picha tu huwa hazipatendei haki.
Hakika picha huwa hazipatendei haki.


Pamefunikwa na milima hivyo picha haziwezi kupaonyesha vizuri.




............
Huko kuna kitimoto tu,mambo ya biryani tumewaachia wadaslama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…