Happybelated bday Cocastic Mungu akupe kila la kheri,uwe mtu wa Mungu ,uwe na hofu na Mungu na uje kua na kizazi chenye manufaa ktk maisha yako...!!!akupeshe na Shari za wanadamu,hasadi na chuki na akuondeshee kijicho...Mungu akuongoze kwenye kila lenye heri na wewe wa kunyumba!
Nakupenda
Sent using
Jamii Forums mobile app