Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Huu mwandiko jamani daahhTo my dearest dogolasView attachment 2048106
Kachumbari na pilau siyo na waliWe ni mzee wa biriani nakufahamu.
Kachumbari na wali unakula?
Ok pilau kachumbari.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590] upendo wako ni mkuu, nashukuru sana cc kipendhii.Umenifanyisha mazoezi.
Nimejaza page nzima hahah!
Jaman iv ukubwa wote huu, naitwa dogo aaah.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unazingua dogo[emoji1787]
Mlongo na shos mbna hujaniwish b'day yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tubadilishane miaka unajua sipendi ukubwa mie[emoji23],Jaman iv ukubwa wote huu, naitwa dogo aaah.
Ngoja ulanzi unizeeshe niheshimike na mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo yaani,nikija kwako wala usihangaike na nyama michuzi looohNoma sana.
🤣🤣🤣Hivyo yaani,nikija kwako wala usihangaike na nyama michuzi loooh
Vile najisikia raha kuona mwandiko wangu ninaocharaza kama bata unapendwa[emoji1787]
Tupia picha wamelalaKuzuri.
Vocha itaisha bana.Tupia picha wamelala
NitakupaVocha itaisha bana.