Asante. Angalau umejitahidi. Ni hatua nzuri. Na Mungu Akipenda nitakuja hapo March 2022 pamoja na familia yangu. Naamini watapapenda. Itapendeza Mtumishi ukiwa mwenyeji wetu
Acha tu nipige vyombo leo. Sitegemei kutoka hapa ndani mpaka labda Jumanne hivi. Hata nikijichakaza nalala tu naamka naendelea tena kupiga vyombo mpaka kieleweke