Asante. Angalau umejitahidi. Ni hatua nzuri. Na Mungu Akipenda nitakuja hapo March 2022 pamoja na familia yangu. Naamini watapapenda. Itapendeza Mtumishi ukiwa mwenyeji wetu
Forensic entomologist...kazi ngumu lakini ina mshiko!
Maiti ikiokotwa imeoza wewe kazi yako ni kuchunguza insects activity na kubashiri muda ambao kifo/mauaji yalitokea......na kuwasaidia wapelelezi kuamua majeraha yapi yametokana na funza na yapi yametokana na sababu zingine....Utaweza?
Forensic entomologist...kazi ngumu lakini ina mshiko!
Maiti ikiokotwa imeoza wewe kazi yako ni kuchunguza insects activity na kubashiri muda ambao kifo/mauaji yalitokea......na kuwasaidia wapeleleki kuamua majeraha yapi yametokana na funza na yapi yametokana na sababu zingine....Utaweza?