Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha...Bhageshi kama kula huwa nakula sana kwa kweli ila mwili kuongezeka huwa naongezeka kidogo mno

Au nikioa naweza kunenepa[emoji3]

Kwema lakini bhageshi
Huku salama bageshi. Ukioa li Yutong utanenepa tu utake usitake. Ila ukioa kakimbaumbau kenzio ndiyo wote mtazidi kukondeana tu yaani dah!
 
Amen [emoji120][emoji120]
I like this one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…