Kwa kweli voda hatuhami acha watuue tu [emoji1787][emoji1787]10+ years ninatumia Voda pekee; nina mahaba nayo kupitiliza na wananikosha na speed yao. Japo vifurushi vinaninyoosha ila ndiyo nishaipenda sasa, napambana na hali yangu.
Dada kasema mmetisha sana
nasubiri ww unapanda bus la wapi?Sanaaaa!!
hahahahahaSure yaani mie imefikia kipindi nikipanda basi lenye makonda wachache na hawana story huwa naona safari mbaya. Mfano Shabiby za Dom yaani jamaa wako serious kichizi hamna story wala nini halafu konda unakuta mmoja au wawili tu.
Af uzi umekua wakiwaki sana huku mbele. Unapata comments mia naa, hakuna picha hata moja watu wanapiga story tuu..Na wewe unaenda mkoani? Na umepata Siti ya mbele?
Dar Lux nilipanda mara moja tu nikasema sirudii tena. Siku niliyopanda na kufika Dar saa sita za usiku nikasema mwanzo na mwisho.Hivi Dar Lux na Rungwe yapo jamani? Enzi zile Rungwe bado inatamba, ukoo mzima wanyaki tunapanda Rungwe, ole wako ukapande bus lingine. Kuna siku karibu na Kitonga ile; sijui bus lilitaka liwake moto. Maana ilianza harufu kali ndani kama ya chemicals; ukaja moshi mzito ndani; daah kumbe nipo mwepesi vile kwenye kuruka dirishani hehehe; maisha matamu jamani mweeh.
Mmhh hizo mpya kuna zinazoenda Mbeya kweli? Maana yule naye kakomaa na Morogoro yake humuambii kitu!Alsaedy sipandi tena.
Bora hata nipande Abood ameleta bus mpya siku hizi.
Mimi ni seat za mbele tu yaani kusiwe na seat yoyote mbele yangu labda iwe nyuma ya dereva. Tofauti na hapo sikati nasogeza safari mbele.Mimi limit yangu ya kukaa ni seat no 20.
Kama gari haina hizo seat basi sikati.
Nimeona kuna meme inasema kama hujapitiwa na haka kahoma kanakotrend sasa hivi basi wewe ni mchawi. Nikajisemea tu kumbe 'wachawi' tuko wengi hehe.Ndio habaru ya mjini siku hizi.
Mtu unakata moto kirahisii.
Mimi Sitoki hapa rafiki nipo sana!!🙇! Ukishakua na familia kusafiri safiri sio sana!nasubiri ww unapanda bus la wapi?
Wajinga sana wale.Dooh kumbe nawe mtata. Dada yangu aliwahi gombana na New Force kuhusu suala la mizigo miaka hiyo wakati inahit basi tangu alivyogombana nao akawa anawasagia kunguni tu.
Mie niliyowahi kupanda ni Shabiby, Al Saedy, Kimbinyiko na BMMagari yangu pendwa ya Dodoma ni Shabiby ,Kimbinyiko na ABC upper class.
Kupanda hayo mengine ni kutafuta shida tu[emoji4]
hahaha ni kweli.ila c unaenda kusalimia?Mimi Sitoki hapa rafiki nipo sana!!🙇! Ukishakua na familia kusafiri safiri sio sana!
Watu wapo safarini,si unaona wanavyopiga Stori za mabasi? wakifika watapiga picha mkuuAf uzi umekua wakiwaki sana huku mbele. Unapata comments mia naa, hakuna picha hata moja watu wanapiga story tuu..
Haya chukueni hizoo[emoji116][emoji116] me naenda field.
View attachment 2047390View attachment 2047389
Damu yetu hii kwa ubishi tuko vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wajinga sana wale.
Yaani eti ananitishia kushusha eti nipande nao kwenye seat nikamwambia wewe shusha mimi naenda kuuweka katikati ya gari na tukifika kwa traffic namuita namwambia umekataa kunipakilia kwenye buti.
Ile tumeshuka tu anawaambia wenzie huyo dada namdai
Nilibishana naye mjinga yule,,Abiria wakaanza kumfokea anawachelewesha..
Hela yangu sitoi kizembe.
Ukiwa safarini camera inakua haifanyi kazi?Watu wapo safarini,si unaona wanavyopiga Stori za mabasi? wakifika watapiga picha mkuu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ile asubuhi tunabishana naye, mama ananiambia toa tu,nikamwambia nitoe nini wakati huu mzigo ni bure..wamezoea kuonea wanyonge.Damu yetu hii kwa ubishi tuko vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah sema Nilitoka mwezi wa 11.. saivi tunatuma ya sikukuu tu!!hahaha ni kweli.ila c unaenda kusalimia?
Kimbinyiko wapo vizuri.Mie niliyowahi kupanda ni Shabiby, Al Saedy, Kimbinyiko na BM
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeona kuna meme inasema kama hujapitiwa na haka kahoma kanakotrend sasa hivi basi wewe ni mchawi. Nikajisemea tu kumbe 'wachawi' tuko wengi hehe.