Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Voda siyo deal hamia airtel
Hongera nyingi kwa dada
al saedy. Yupo kilombero.kilosa pia eehHata Mbeya hamna kitu.
Gari nililopanda wakati wa kurudi yaani ni hovyo sijapata kuona.
Kwanza walipakia abiria wengi kuzidi seat...ikawa tukifika maeneo ya kukaguliwa wanawahamisha watu kwenye coaster...wanakuja kuwapandisha tena kwa mbele.
Gari baya hata AC halina..
Sipandi tena ile gari.
Kimbembe kikaja yule konda sijui aliniona nina hela,
Eti nimepakia unga ananidai hela na wakati chini ya 25kg ni bure..
Nilizinguana naye asubuhi,,ananiambia oh basi tushushe ukapande nao ndani,nikamwambia sawa tu ushushe nikakae nao kwenye seat.
Likapakia.
Kufika mbezi ananizingua,,nikamwambia tafuta mizani tupime,,ikizidi 25kgs nakupa hela..kama vipi nenda nao tu utaniletea kituo cha polisi.
Hahaa au usikute alienda kuwapita wote mbele ya safari na akawahi kufika kama kawaida yakeSiku hiyo Al Saedy atakuwa alipata changamoto; aliachwa mbali sana na wenzie. Kwa kweli kwangu picha ni wito
🤣🤣🤣🤣🤣 Inatokomea sana nawewe rafiki!rafiki jana ckupata wa kutoka nae.naomba tutoke mm na ww.vijana wa zamani.leo FURAHI DAY,
Mi hata naelewa maneno ya hawa Vijana rafiki wapuuzie tu!!!!hahahaha kumbe navyoobwa vocha.mara cjui leo niko hovyo nasaidia kumbe huwa nachunika?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Chotera moja hio!!Hiki kiganda kimenyooka kama Cha Kabaale
hahahaha.rafiki nilikumiss ujue? Tuendelee best angu wa ukweeMi hata naelewa maneno ya hawa Vijana rafiki wapuuzie tu!!!!
Hahahaaa...leo najifunza majina ya mabus, niache kudandia dandia malori
Baya hilobana la Mbeya ni zuri
Hivi Dar Lux na Rungwe yapo jamani? Enzi zile Rungwe bado inatamba, ukoo mzima wanyaki tunapanda Rungwe, ole wako ukapande bus lingine. Kuna siku karibu na Kitonga ile; sijui bus lilitaka liwake moto. Maana ilianza harufu kali ndani kama ya chemicals; ukaja moshi mzito ndani; daah kumbe nipo mwepesi vile kwenye kuruka dirishani hehehe; maisha matamu jamani mweeh.Hata Mbeya hamna kitu.
Gari nililopanda wakati wa kurudi yaani ni hovyo sijapata kuona.
Kwanza walipakia abiria wengi kuzidi seat...ikawa tukifika maeneo ya kukaguliwa wanawahamisha watu kwenye coaster...wanakuja kuwapandisha tena kwa mbele.
Gari baya hata AC halina..
Sipandi tena ile gari.
Kimbembe kikaja yule konda sijui aliniona nina hela,
Eti nimepakia unga ananidai hela na wakati chini ya 25kg ni bure..
Nilizinguana naye asubuhi,,ananiambia oh basi tushushe ukapande nao ndani,nikamwambia sawa tu ushushe nikakae nao kwenye seat.
Likapakia.
Kufika mbezi ananizingua,,nikamwambia tafuta mizani tupime,,ikizidi 25kgs nakupa hela..kama vipi nenda nao tu utaniletea kituo cha polisi.
Dooh kumbe nawe mtata. Dada yangu aliwahi gombana na New Force kuhusu suala la mizigo miaka hiyo wakati inahit basi tangu alivyogombana nao akawa anawasagia kunguni tu.Hata Mbeya hamna kitu.
Gari nililopanda wakati wa kurudi yaani ni hovyo sijapata kuona.
Kwanza walipakia abiria wengi kuzidi seat...ikawa tukifika maeneo ya kukaguliwa wanawahamisha watu kwenye coaster...wanakuja kuwapandisha tena kwa mbele.
Gari baya hata AC halina..
Sipandi tena ile gari.
Kimbembe kikaja yule konda sijui aliniona nina hela,
Eti nimepakia unga ananidai hela na wakati chini ya 25kg ni bure..
Nilizinguana naye asubuhi,,ananiambia oh basi tushushe ukapande nao ndani,nikamwambia sawa tu ushushe nikakae nao kwenye seat.
Likapakia.
Kufika mbezi ananizingua,,nikamwambia tafuta mizani tupime,,ikizidi 25kgs nakupa hela..kama vipi nenda nao tu utaniletea kituo cha polisi.
Eli79 leo nimekosa ofa yakoSelfika na Airtel ya buku X2. View attachment 2047350
Hahaa au usikute alienda kuwapita wote mbele ya safari na akawahi kufika kama kawaida yake
hahahaha leo furahi day ctokomei kwa niaba yako rafiki🤣🤣🤣🤣🤣 Inatokomea sana nawewe rafiki!
Hujawahi kukaa kwenye hii Siti km Yule Bibi abiria wa mbagala-gongo la mboto aliposhangilia Ile siku amepata Siti tena ya mbele,Ila abiria wakamwambia Bibi samahani hiyo Siti uliyokaa ni ya Dereva.Bibi alichoka na kulaani sn kusikia hivyo
Alsaedy sipandi tena.New Force sasa hivi hazina ishu
Dar Mbeya basi zinazohit kwa sasa ni Sauli, Al Saedy, Kilimanjaro na Imani Plus
Sawa rafiki utanistua mida!hahahaha leo furahi day ctokomei kwa niaba yako rafiki
Mimi limit yangu ya kukaa ni seat no 20.Mimi kukata ticket week kabla ya safari ndiyo tabia yangu labda nipate safari ya dharura na kama safari ni ya dharura huwa situmii basi. Nina allergy na seat za nyuma na nikikosa za mbele huwa natamani hata kulia maana najua safari yangu itaboa tu.
Pale mbele huwa napenda sana company ya wale makonda kwa mfano kwenye mabasi kama Sauli unakuta kuna makonda wengi wengine hadi wanakaa chini pembeni kabisa ya dereva. Basi huwa naenjoy kweli wanavyochangamsha genge na story zao.