Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hata mimi.Browser imenishinda aise
Japo upande wa pm iko vizuri kuzidi app.
Hata mimi.Browser imenishinda aise
Nbade nkulinze mwami!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! kwangu browser ni rahisi zaidi ya appPage zake zile ikiwekwa vocha hapa haipati
Atakesha anatafuta page yenye vocha.
Heri waninyonge kuliko kutumia browser! kwangubrowser ni rahisi zaidi ya app
Webale mukwano Nkwagala nyo nyo nyo nyo!!!!!Jendiiiiii , nkwagalaaaaaa
Mimi app inazingua sana!Heri waninyonge kuliko kutumia browser
Huwa naitumia mara moja moja nikiwa nataka nitumie vile viemoj kwa reaction na pm pia huwa naitumia.
Ubarikiwe na Mungu
Voda nimekosa mjomba na bahati mbaya nishafika kiotani 😄Mjomba weka voda basi asee![]()
Selfika kwanza hapa tumekumissAcha tu...Vijana wanatuwahi vibaya...
Tufanye mkakati gani Dada nasi tuambulie hata moja jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wengi...Browser imenishinda aise
Aahh basi ukiweka voda utanistua hizo nyingine ngoja niache wengine wapiganie tu maana hazinipi stressVoda nimekosa mjomba na bahati mbaya nishafika kiotani![]()


Akikupa naomba nisimulie na mimi
I second youTupo wengi...
Mambo yakwenda na page namba nilishindwa...Wakati kwa App ni mserereko tu..
Sent using Jamii Forums mobile app



