Selfika na JF: Snap it. Show it

hapana nlipoteza passwod na email mmesahau nkajaribu kuwasiliana na mtu wa jf majibu alonipa sina hamu.. Sijui alikua ma stress that day!!
nkafungua ingine
Polee yani leo ndo najua kua niwewe maana nilikua hata sikuelewi


Jaribu kumcheki Max kwa simu atakusaidia kurudisha id yako ile mwaya. Yukogo active na hana tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…